
Familia ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, aliyejeruhiwa na watu wasiojulikana katika shambulia la kujaribu kumuua, wamelitaka jeshi la polisi kutumia ubalozi wa Tanzania nchini Kenya ili kumpata Dereva wa Mbunge huyo ambaye naye yupo nchini humo kwa matibabu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment