Betty Mbereko na mwanaye, Farai Mbereko.
BETTY MBEREKO (40) mwanamke anayeishi Mwenezi huko Masvingo, Zimbabwe, ameolewa na mwanaye wa kumzaa aitwaye Farai Mbereko mwenye umri wa miaka 23.Katika hali hiyo ambayo ilitokea mwanzoni mwa mwezi huu wa Oktoba, mama huyo anategemea kupata mwanaye ambaye pia ni mjukuu wake. Mwanamke huyo amekuwa mjane kwa miaka 12 iliyopita ambapo amekuwa akiishi na mwanaye huyo.

Alithibitisha hivi karibuni kuwa ana ujauzito wa miezi sita na hivyo
akaona afadhali “aolewe” na mwanaye kwani hakutaka kuolewa na mmoja wa
wadogo wa marehemu mumewe, aliosema wanamtamani.Betty aliishangaza
mahakama ya kijijini kwake aliposema alianza kuzini na mwanaye miaka
mitatu iliyopita. Alisema baada ya kutumia fedha nyingi kumsomesha Farai
baada ya kifo cha mumewe, aliona ana haki ya kufaidi fedha ya mwanaye
na si mwanamke mwingine.

Tazama, nilihangaika kumsomesha mwanangu na hakuna
aliyenisaidia. Sasa mwanangu anafanya kazi na watu wanasema nimefanya
kosa. Acha nifaidi mazao ya jasho langu,” aliiambia mahakama hiyo.Farai
alisema yuko tayari kumwoa mama yake na atalipa mahari kwa babu na bibi
zake, ambayo baba yake hakuimalizia.Nafahamu baba alikufa kabla ya
kumalizia mahari; niko tayari kuilipa Ni yema kutangaza kinachotokea
kwani watu lazima wafahamu kwamba ni mimi nilimpa ujauzito, bila hivyo
watasema ni mzinifu,” alisema Farai.

Aliwaonya wawili hao wavunje ndoa yao au waondoke kwenye kijiji hicho ambapo walichagua uamuzi wa pili, na tangu hapo wameondoka kijijini hapo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment