Dr Godwin Oloyce Mollel aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa
Kilimanjaro kupitia CHADEMA, ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho
kuanzia leo na kujiuzulu Ubunge, amedai anamuunga mkono Rais Magufuli
ambaye anapigania rasilimali za nchi yetu.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
-
*1. IMDB*
www.imdb.com
*2. IPP Media*
www.ippmedia.com
*3. Idhaa ya kiswahili DW.DE*
www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/s-11588
*4. Idawa Onlin...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment