December 14, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh: John Pombe Magufuli, ameahidi kulipa madeni yote ya waalimu mara baada ya kukamilika kwa uhakiki wa madeni hayo, Rais Magufuli ameyasema hayo leo hii 14 Desemba katika ukumbi wa Chimwaga Mjini Dodoma alipokuwa akifunga mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania CWT
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE