Habari mpenzi msomaji. Karibu katika kurasa za magazeti ya leo hii Jumapili ya 11. Feb 2018. Tumekukusanyia baadhi ya kurasa katika magazeti makubwa kabisa na pendwa nchini Tanzania
Yanga Kukutana Kwa Dharura...Kisa Manji Kujiuzulu
Duru za taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga zinasema uongozi wa klabu
hiyo kesho utakuwa na mkutano dharura kuelezea kuhusu taarifa za
kujiuzulu kwa Mwenyekiti Yusuph Manji.
Kaimu Katibu mkuu wa Yanga Baraka Deusder…Read More
Masanja Mkandamizaji Afunga Ndoa
Masanja akimvisha pete mke wake.
Gari la maharusi likiwasili kanisani.
Dk. Tulia Ackson naye alikuwepo.
MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja
Mkandamizaji…Read More
DIWANI WA KATA YA MSHANGANO AJIUZULU
-
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano akionesha barua ya kujiuzulu
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano aliyejiuzulu kupitia Chama Cha
Mapind...
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment