May 05, 2018

 
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 5, 2018 amezindua Rasmi Darala la Magufuli lililopo Kilombero mkoani humo. Katika hafla ya uzinduzi huo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa,ametangaza rasmi kuwa daraja hilo litaitwa daraja la Magufuli, kutokana na heshima ya Rais.

                         

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE