Akizungumza na Showbiz Xtra, Madee alisema kuwa haina sababu ya kuoa halafu ukae mwaka au miaka miwili uachane na mkeo kitendo ambacho hataki kitokee hivyo anaona ni bora kuchelewa kuoa lakini apate mke na mama bora kwenye familia yake.
“Watu wengi wananishangaa mimi kwa nini nachelewa kupata mwenza lakini najua nini nafanya sioi ili nimfurahishe mtu bali kwa ajili ya maisha yangu na watoto wangu hivyo nikipata muaminifu nitaoa,” alisema Madee.
Na.IMELDA MTEMA wa GPL
0 MAONI YAKO:
Post a Comment