Band ya African Star's Twanga Pepeta , wanatuletea video ya wimbo mpya kabisa unaitwa Povu. Video hii iliyofanyika chini ya DR. Hanscana ni moja ya video bora kabisa ya muziki nchini Tanzania
NMB -Yatoa mafunzo ya ujasiliamali kwa wafanya biashara wa Dar
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Spora Liana akizungumza kufungua mkutano wa wafanyabiashara wa Dar es Salaam “NMB Business Club’ waliokutanishwa na benki hiyo jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunz…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment