Mbunge wa Mtama,Nape Nnauye amezungumzia kwa mara ya kwanza tukio lake la kutishiwa bastola miaka miwili iliyopita.
Katika
maelezo yake, Nape amsema wakati anatishiwa kwa bastola miaka miwili
iliyopita walikuwapo watu mbalimbali akiwamo Mkuu wa Polisi wa Wilaya
(OCD)pamoja na Kamanda wa polisi wa Mkoa (RPC).
Pamoja na hayo alishangaa tukio lake hilo kutotolewa ufafanuzi wowote na Serikali wakati inalijua vizuri.
Nape
aliyasema haya bungeni wakati Bunge lilipokaa kama Kamati ya Matumizi
kujadili bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha
2019/20.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment