
Mkali wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Stamina Kabwela, amezungumza na blog hii leo asubuhi kwamba , hajaachia wimbo mpya. Stamina amesema wimbo huwo uliosambaa jana katika mitandao unaoitwa Mngekuwepo aliomshirikisha Criss wamarya umetolewa kimakosa na mtu asiyefahamika. Juhudi za kumpta uyo mtu zinaendele
0 MAONI YAKO:
Post a Comment