
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kutoka Tanzania amekutana na
Waziri Mkuu wa China Mh. Li Keqiang kwa mazungumzo ya Mkutano wa Uchumi
Duniani, mkutano huo uliyofanyika barani Afrika katika jijini Abuja,
Nigeria siku ya Mei 7, 2014. Ikiwa lengo kubwa ni kuinua uchumi katika
nchi mbalimbali za barani Africa.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment