
Mchungaji kutoka Nigeria, Frank Kabele akizama alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu.
Mchungaji
kutoka Nigeria, Frank Kabele (35) amesombwa na maji katika mto mmoja
nchini hiyo na kufariki alipojaribu kutembea juu ya maji kama Yesu.
Frank Kabele aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani. Aliwaahidi wafuasi wake kuwa atatembea juu ya maji pindi tu atakapomaliza maombi yake.

Akiomba msaada kutoka kwa waumini wake bila mafanikio.
Lakini
mambo yalienda ndivyo sivyo baada ya mchungaji huyo kujaribu kutembea
katika mto mkubwa, alididimia mtoni humo na ilikuwa vigumu kwa waumini
wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi na kufariki dunia.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment