Taarigfa zilizotufiki punde zinasema kuwa Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta amsimamisha kazi kaimu mkurugenzi mkuu
wa mamlaka ya Bandari Tanzania mhandisi Madeni Kipande kutokana na
tuhuma za utendaji mbovu.
CHADEMA yaipigia Magoti ACT Wazalendo
MBOWE :-CHADEMA TUTAUNGANISHA NGUVU NA ACT WAZALENDO KUPINGA UDIKTETA.
Waswahili walisema usitukane Mamba ujavuka mto, msema huo waelekea
kutimia kwa Freeman Mbowe na cdm yake kufuatia kudorora kwa mpango wao
wa Ukuta s…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment