October 11, 2015


Good news kwa Tanzania… Yes, hii ni kwenye burudani kwa mara nyingine tena, Bongo Fleva ni muziki ambao umefika mbali kutokana na juhudi za watu wengi walioamua kuweka ngumu nyingi kuhakikisha huu muziki unafika kwenye headlines za Kimataifa
Tunajiunga na Mtu wako wa nguvu Millard Ayo ambaye naye ni mmoja ya walioshuhudia utoaji wa Tuzo za AFRIMMA 2015 ndani ya Dallas, Texas Marekani… Mastaa toka Bongo nao wameng’ara zaidi safari hii, yuko Ommy Dimpoz na Tuzo moja, Vee Money na Tuzo moja pamoja na Diamond Platnumzna Tuzo tatu.

List ya Washindi wote hii hapa mtu wangu, hongera nyingi kwa watu wa nguvu walioshinda AFRIMMA 2015.

Best Male (South Africa) – AKA (South Africa)
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido(Nigeria)
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee aka Vee Money (Tanzania)
Best Female (West Africa) – Yemi Alade(Nigeria)
AFRIMMA Inspirational Song – ‘Alive’>>Bracket Feat. Tiwa Savage & Diamond Platnumz
Best DJ (Marekani) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz (Tanzania)
Best Collaboration – All Eyes on Me >>AKA feat. Da Les & Burna Boy
Best Dance Video – ‘Nana’>> Diamond Platnumz
Best Video – Ojuelegba >> Wizkid(Nigeria)
Artist of the Year – Diamond Platnumz (Tanzania)
Legendary Award – Yossou N’Dour(Senegal)

Transformation Awards AFRIMMA- Rais wa Botswana, Ian Khama

Best Video Director- Godfather (South Africa)

Related Posts:

  • Msimamo wa Juma Nature kwenye headlines za Uchaguzi 2015…… Wakati siasa ikiendelea kuchukua Headline na baadhi ya mastaa wakionesha hisia zao na mapenzi yao kwa watu ambao ni wagombea kwa vyama mbali mbali, leo Msanii wa bo… Read More
  • Stars, Nigeria hakuna mbabeBeki wa Nigeria, William Ekong akibinuka tik tak dhidi ya mshambuliaji wa Tanzania, John Bocco katika mchezo wa leo Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta akimhadaa beki wa Nigeria, Solomon Kwambe   Mshambuliaji w… Read More
  • Kubenea asema "Dk. Slaa... uvumivu umenishindaSaed KubeneaKatika taarifa yake kwa Mwanahalisi Online, Saed Kubenea, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd (HHPL) wachapishaji gazeti la MwanaHALISI, (ambaye amechimba kwa undani sakata la Richmon… Read More
  • Lowassa aiteka Tabora  Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa Mji wa Tabora, waliofutirika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town School, kulikofantika Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombe… Read More
  • Kingwendu anusurika ajalini King Sapeto akiwa na,Kingwend  Mwigizaji maarufu, Kingwendu amenusurika kifo baada ya ajali mbaya ya gari iliyotokea leo Wilayani Kisarawe.Kingwendu amekumbana na ajali hiyo akiwa katika kampeni zake za kuwania ubu… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE