October 24, 2016


  

TANZIA: Mwanzilishi wa mtandao maarufu kwa kuibua mambo wa 'WikiLeaks', Gavin MacFadyen (76) amefariki. Sababu za kifo chake bado hazijawekwa wazi.

Mtandao wa WikiLeaks umekuwa mwiba mchungu sana kwenye kampeni za Marekani. Mambo mengi ya siri ya mgombea Hillary Clinton yamewekwa hadharani na mtandao huo.

WikiLeaks pia ilivujisha mawasiliano ya Barua pepe za siri kati ya Rais Obama na Mwenyekiti wa Kampeni wa Hillary Clinton, John Podesta

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE