July 13, 2017

Kijana Said Ally aliyetobolewa macho na 'Scopion ametoa sababu lukuki za kuitelekeza Familia yake kufuatia habari kusambaa katika mitandao ya kijamii na baazi ya Magazeti. Kupitia kipi ndi cha Leo Tena cha Clouds Fm, Said Ally amefunguka juu ya taarifa na tukio hilo na kutaja sababu za yeye kutengana na Familia yake. Bofya Video hapo chini kujua kipi hasa kilichomsibu Kijana Said


             

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE