Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)
limetangaza majina ya wachezaji 24 ambao watawania tuzo ya Mchezaji Bora
wa Dunia 2017, tuzo za mwaka huu zinatarajiwa kutolewa Oktoba 23 katika
jiji la London, Uingereza.
MMILIKI WA NYUMBNI PARK AVAMIWA KUJERUHIWA NA KUPOLWA FEDHA
Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhi.Tukio hilo lilitokea usiku wa Trh 19 kuamki 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda.
Sehemu alizoathi…Read More
UBALOZINI RESPECT WAFANYA ZIALA YA MAKABURINI
Hapa baada ya kutembelea makaburi
Vijana wa wanaunda kundi la Ubalozini Respect mkoani Morogoro siku ya jana walifanya ziara yao ya kawaida kabisa ya kutembelea na kufanya maombi makuburini ikiwa ni …Read More
LOWASA AHUDHURIA IBADA YA KRISMAS ZANZIBAR JANA
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar
alipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi jana. Kulia ni Mchungaji wa
Kani…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment