Msanii anayefahamika kwa jina la Diamond Platinum
tunakumbuka kama alipata ziara ya nchini marekani Washington Dc kwa
kufanya show yake.Sasa habari ni kwamba msanii amesharejea hapa Tanzania
lakini dancer wake bado wanakula bata nchini marekani.Msanii alieleza
sababu ambazo zimemfanya mpaka awaache ma Dancer wake nchini marekani
huyu hapa anafunguka kama ifuatavyo
"Jibu
ni hapana,nimeamua kuwaacha marekani kwa ajiri ya mapumziko ya muda
mfupi.Ili waweze kurefresh akili na miili yao kwasababu kiukweli
wamefanya kazi kubwa kwa muda mrefu na iliyozaa matunda makubwa...hivyo
kwa upendo na Heshima yangu kwao nikaona ni vizuri niwazawadie
Mapumziko hayo Nchini AMERICA..... mbali na hayo kuna kingine kikubwa
ambacho soon ntawajuza nini wanakifanya pia huko America ili wakirudi
wazidi kuleta levolution katika Industry hii ya Muziki Africa"hayo ndiyo maneno ya Diamond Platinum wa wasafi baada ya kufunguka kuhusiana na ma Dancer wake.
Dayna Nyange akoshwa na muziki wa A.Y na Fid Q
Msanii wa Bongo Flava Dayna Nyange amedai kuwa kipindi cha nyuma muziki
wa AY na Fid Q ulimpelekea kupenda muziki na atimaye kutumbikia katika
tasnia hiyo.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya…Read More
Mtoto wa Shilole kugundua dawa ya UKIMWI
Shilole msanii wa muziki na filamu wa Tanzania.
Msanii Shilole ameweka wazi kile ambacho watu wengi walikuwa hawafahamu
kuhusu watoto wake, na kusema kwamba mambo yake ya mitandaoni
hayawaathiri …Read More
Official Music Video: Muda - Chidi Beenz feat. Q Chief
Chidi Benzi Chuma, ametuletea Video ya wimbo wake wa Muda aliomshirikisha Q-Chief. Story zinazidi kusambaa mitandaoni na kwenye vyombo mbalimbali vya habari, je ametengeneza kiki ili aachie Video?? Jibu unalo wewe …Read More
HABARI: Tarehe ya Uchaguzi mkuu kenya yatajwa
Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Kenya imetangaza kwamba uchaguzi mpya wa urais nchini humo utafanyika tarehe 17 Oktoba.
Mwenyekiti
wa tume hiyo Wafula Chebukati amesema uchaguzi huo utashirikisha
wagombea wawili …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment