Ukizungumzia
wasanii ambao wanatisha pale kati kwa watoto wa wazuri basi msanii huyu
lazima awepo namzungumzia Top in dar au TID anayefanya watu wasilale
kwasababu ya ngoma yake kali inayofahamika kwa jina la kiuno.Sasa jana
bhana mishale ya jioni hivi nakuta TID akilalamika kwamba mwaka huu
kwake umekuwa mbaya kwani ajapata nafasi ya kupiga show za serengeti
fiesta wakati wasanii wengine wanapiga kazi na ni mwaka wa 5 sasa
ajapiga hata show moja.Hivyo ndivyo TID aliamua ku tiririka kidogo baada
ya kuona wasanii wenzake wanapata shavu la kupiga show mikoani.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment