DJ JIWE PICHANI
Zikiwa zimebaki siku chache kufika kilele cha kumpata mkali wa EPIC BONGO STAR SEARCH 2012, tamasha hilo limeingia doa baada ya wadau mbalimbali kulitoa kasoro kibao.
Kufuatia kutofwata kwa vigezo na washiriki wa miaka ya nyuma kutoonesha makali wadau mbalimbali wamesema tamasha hilo limepoteza dila na halistahili kuwepo.
Kwa upande wa DJ mkali na mtangazaji wa Capital Radio ya jijini Dar es salaam Jiwe mwanakijiji maarufu kama DJ JIWE ameandika katika ukurasa wake wa Facebook huku atoa kasoro nyingi.
anasema jiwe
Huku wadau wengi wakimuunga mkono jiwe kuhusu mitazamo yao juu ya shindano hilo.
Anaandika jiwe na michongo ya wadau mbali mbali.
Anaandika jiwe na michongo ya wadau mbali mbali.
''kinacho
nishangaza kwenye hii EBSS yenu huyu WABABA sijui MBABA mbona yuko
kitambo sana kwenye game ama ndo mmempanga mgawane mimilioni?toka TIP
TOP leo tunaambiwa anashindana tena kwenye EBSS kama hivyo ndivyo kuna
haja gani ya kufanya audition???????????jitu lina albam nzima leo
linashindana na watu fresh kabisa halafu mnalimwagia sifa asizostahili
kiukweli mmenidisappoint sana asee tuseme mj humjui huyu NURDINE wa
kujiita WABABA??????????SHAME ON WABABA''
- You and 2 others like this.
- Ahmadi Machaku Dah! Kumbe umeliona ilo kaka? Alafu huwa wananshangaza sana, hawo washnd wao wanaowapataga hatunuoni mafanikio yoyote kwenye mzk wao. Tanzania bwana.. Sijaona bado faida za EBSS
- Jiwe Mmwanakijiji nilisikia fununu kuwa kaandaliwa nikabisha sana lakini kuna kila dalili za kukubari hilo,huyu jamaa aliwahi kumfata mtu wangu wa karibu sana kumuomba amsimamie baada ya kufukuzwa tip top huku akimuachia albam nzima ya ngoma zake iweje leo ashindanishwe na watu kama wakina walter?kima hivyo ndivyo basi tuwachukue na wakina amini wakashindane kuliko kutufanya mabwege halafu mnatuhamasisha kupiga kura EBSS katika hili wamechemka sana aseeeeeeeeeeeeeeeeeee
- Rogers Rwechungura J Milioni 50 ni pesa nying mno kwenda kwa kapukwa mmoja lazima kiasi kadhaa kibaki mikononi mwa waandaaji, njia mojawapo ni kumwandaa mshindi. Nakumbuka kuna siku MJ alimwambia Wababa kuwa yye alipinga Mbaba kuingizwa ktk 20 bora sasa sijui alimaanisha nin
- Willex Willibard Bt inaruhcwa any body kushiriki,cunakumbuka George toka Tng pia alishiriki bt akashindwa
- Agrey Mwenyembegu Halafu kwanza anaimba vitu gani hyo mbaba?Mbona zengwe la njenje hili.....inamaana ndo kusema wao majaji wanajicho la 4 ambalo sisi hatuna?Maana nahisi wanaona ambacho sisi hatukioni kwa hyu jamaa ambaye anaimba nyimbo za ajabu!
- Tumaini Chayeka Mimi nilikuwa cjui hilo wakubwa kama huyu jamaa ni wa long nifungueni mackio,maana huyu nawac wanamuandalio hiyo 50 au hawa wadada wa familia m1 waweza chukua pia.
- Neiomy Peter kwakweli hata me cjui,hii Bss ni kutafuta vipaji au kutafuta wazoefu kwenye mziki ila hawajatoka?
- Godson Mmanga kaka kama vp tupia mpaka ngoma alizoimba kiukweli hata mimi nilikua cjui hilo kesho watakuja kumpa madee kabisa kwactaili hizi
- Fatma Miraji Wanataka kumnyima walter jamaa mzuri wasituhanisi kbs huyo mzee cjui mbaba au mbabu hana lolote kweli yaleyale ya j.nne iddy wanatuletea hawana lolote hao ebss!!!!!!
- Jiwe Mmwanakijiji ndo mana KALA alisema kuwa ni ngumu sana kwa mshindi wa BSS kutusua kwenye game ya kizazi kipya bse most of them hawaoneshi uwezo wao wao wanaonesha uwezo wa kukopi kazi za watu,wababa aka wamama alikuwa akijiita NURDINE lipokuwa tip top connection kama wasipompa ntajua ujumbe huu umewafikia walengwa na huyo salama aliyetoka tht kaimba wimbo gani mbona hajulikani?nenda defetality utamjua wababa ama muulize nay wa mitege kuhusu wababa ama kawaulize tip top mixer nenda mpaka kwa mamu stores kuna kopi ya albam yake tena mbaya zaidi alitakiwa kutoka kabla ya z anto akazinguana na bonge wakaenda kuchukua kila kitu kwenye geto walilokuwa wamempangia ha ha ha ha ha ha ha EBSS ya madam ritha katika hili hakika narudia tena mmechemka sana aseeee
- Jiwe Mmwanakijiji nadhani walter ni chaguo la wengi though mimi si muumini wa EBSS bse sijaona ambacho wanaweza kujivunia katika kuibua na kuendeleza vipaji vya wasanii wa kizazi kipya hapa nchini angalia top 5 za zoooooote toka wameanza nani mwenye kuchechemea zaidi ya KALA?bora THT na MKUBWA NA WANAE wanaweza kujivunia uwepo wao kwenye game lakini sio EBSS
- Tumaini Chayeka Kwa yote sawa mmenena hapo Fatma kanena ongeeni nani haswaa anastaili kabisa hiyo 50.
- Fatma Miraji Das true yn huwa najiuliza bila majibu nikwanini na nisababu gn ebss hawatoi vipaji badala yk nikutupa burudani kwa ku copy na ku past haya tuangalie vp itakuwa yn master j anajishusha hadhi pale bora ajitoe maana km mchezo wa watoto!!!!!
- Fatma Miraji Mm nahisi bora walter anajua japo anacopy coz pale ukiimba nyimbo yk ndo kbs utaharibu!!!!!!!
0 MAONI YAKO:
Post a Comment