Tundu Lissu ame tweet haya siku yas jana
Walikuwepo akina Joseph Goebbels, Josef Mengele (angel of death)
,Hermann Goring walioamini katika kuua ili kumlinda Mungu wao Adolf
Hitler lakini waliishia kusikojulikana. Sitishwi, sitatishika na kikubwa
zai…Read More
Ya Levis kaja tena na Dis Lui
Yule mkali wa muziki aliyezaliwa Congo na kufanya maisha yake nchini Ufaransa Ya Levi, baada ya kutamba na ngoma zake kama Katchua, Libaba, Elle ne veut pas, sasa ameachia wimbo wake mpya kabisa unaitwa Dis Lui. Video …Read More
Makonda awachana Watanzania kupitia Ommy Dimpoz
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es
Salaam, Mhe. Paul Makonda amekerwa na baadhi ya tabia za Watanzania za
kupenda kutangaza habari mbaya tu za vifo na sio zile nzuri kwa kudai
kuwa huo ni unafiki.RC
Makonda akimtolea mfano msani…Read More
Bad News CHADEMA , Mbunge wao avuliwa ubunge leo hii
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai
amemuandikia barua Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage
kumtaarifu kuwa jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Mbunge Joshua
Nassari (CHA…Read More
Mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram majanga matupu
Mtandao wa kijamii wa Facebook kwa sasa inakumbwa na hali mbaya zaidi
ya mawasiliano kuwahi kutokea katika historia yake kwani huduma nyingi
hazipatikani kote ulimwenguni. “Tunafahamu kuwa baadhi ya watu hawana
hawawezi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment