
Anaitwa Jamal Emil Malinzi, anagombea nafasi ya Urais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania T F F. Ameonekana kuwa chaguo la wengi hasa kutokana na dhamira yake ya kweli katika soka la Tanzania
Jina: Jamal Emil Malinzi
Umri: 52
Elimu: -
1974-1977: Shule ya Sekondari Mwanza; Kidato 1 - 4
1978-1980: Shule ya Sekondari Ilboru; Kidato 5 - 6
1981-1985: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Digrii Uhandisi
Ajira:-
1986 - 1993: Coopers and Lybrand
1993 - 1994: Tanzania Industrial Research and
Development Organization
1993 - sasa : Mjasiriamali,
Mkurugenzi – Cargostars Limited
Michezo:-
1995-2001: Promota wa mchezo wa ngumi za kulipwa
1999 - 2001: Seneta, Yanga
2001 - 2003: Mkurugenzi wa kuteuliwa, Yanga;
Kaimu Katibu Mtendaji, Yanga
2003 - 2005: Katibu Mkuu, Yanga
2009 - 2011: Mwenyekiti, Kamati ya Mashindano ya
Chama cha Mpira wa Miguu Pwani
2009 - 2012: Mjumbe, Baraza la Michezo Dar es Salaam
2011 - sasa: Mjumbe, Kamati ya Utendaji ya Chama cha
Mpira wa Miguu Wilaya ya Misenyi
2011 - sasa: Mjumbe, Mkutano Mkuu wa Chama cha
Mpira wa Miguu Kagera
2012 - sasa: Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu
Mkoa wa Kagera
*Kampuni
yetu ya DJB Sports Ltd iliwawezesha mabondia kadhaa akiwemo Rashid
Matumla kusaini mkataba na promota maarufu duniani Don King.
**Nayo
kampuni yetu ya Cargostars Ltd imekuwa mstari wa mbele
kudhamini michezo mbalimbali. Kwa kipindi cha miaka saba, ilidhamini
mbio za marathon za wabunge. Pia Cargostars ina rekodi ya kudhamini
michezo mingine ikiwemo mpira wa miguu, ngumi, tennis na golf.
Wasifu wake :
mpe kura yako kwa maendeleo ya kweli ya soka letu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment