Hii ni version ya pili baada ya ile ya kwanza iliyotoka February 13 2013 kutoka kwa Madee,Hii wameshirikishwa P Unit kutoka 254 Kenya,Production ni ile ile ya Marco Chali toka Mj records.
ninakupa nafasi ya kusikiliza
Bonyeza play kusikiliza.
Waliovunjiwa vibanda kwenye Hifadhi ya Reli, wapatiwa eneo
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira ambaye pia ni Mbunge wa
Jimbo la Dodoma Anthony Mavunde (wa pili kushoto) akizungumza katika
mkutano na Wafanyabiashara wa eneo la Jamatini Manispaa ya Dodom…Read More
Brand New Audio Song: T-Sigwa - Come 2 me
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, mwanamuziki toka mkoani Morogoro T-Sigwa ametuletea wimbo wake mpya unaitwa Come 2 me. T-Sigwa amefanya wimbo wa Come 2 me kwa producer wake anaitwa Cat P toka katika studio za …Read More
Official New Video: Diamond Platnumz ft Rick Ross - Waka
Haya haya sasa, ile video kubwa ya kimataifa inayowakutanisha Diamond Platnumz toka Tanzania na Rick Ross toka U S A imeshakamilika na tumekuekea hapa uwe wa kwanza kuitazama.Video imefanywa na DR. Moe Muss…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment