Tanzia: Sarah Dumba afariki Dunia
Mkuu wa wilaya ya Njombe na mwandishi mkongwa wa habari nchini Sarah Dumba amefariki dunia jana jioni ya baada ya kuugua ghafla
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi amethibitisha kutokea kwa msiba…Read More
Ulaya na Marekani wakosoa uchaguzi wa marudio Zanznibar
Mabalozi na wawakilishi wa nchi za Ubelgiji, Canada, Denmark, Umoja
wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi,
Norway, Hispania, Sweden, Switzerland, Uingereza na Marekani hivi leo
wametoa t…Read More
Davido avamiwa Marekani
Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, polisi nchini Marekani wamevamia
nyumba ya Davido iliyopo mjini Atlanta, Georgia wakimtuhumu kuwa ni mtu
anayekusanya na kusafisha pesa za mambo ya kihalifu.
Polisi walifanya…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment