June 25, 2014

Star wa muziki wa Bongo Flava Diamond Platnumz ambae kwasasa anayo heshima kubwa kwenye Industry ya muziki, kutokana na muziki wake pamoja na kuingia kwenye tuzo za MTV MAMA na BET  leo alikuwa kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameuongelea muziki wa Taarabu ambao anaweza kuuimba pia aliwai kuomba na nafasiJahazi Morden Taarab ya
kuimba kabla hajawa
Diamond Platnumz....
Hii ni video clip inayomuonesha akiimba muziki wa taarabu....

           

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE