August 15, 2014


 Afande Sele,Prof J [kati] ni mtoto wa Afande Sele Asantesanaa
  Tundajema [kulia] mtoto wa mkubwa wa Afande sele na marehemu mamA Tunda ambaye anasoma moja ya shule za sekondari Jijini Darakifarijiwa na mmoja wa ndugu zake

 Rais wa Shirikisho la wasanii wa filam nchini'TAFF' Saimon Mwakifwamba[kati] akimfariji Afande Sele, anayeshuhudia tukio hilo ni Ahmed Machaku
 
 Mwakifwamba akiteta na Afande Sele
Ahmad Machaku akimfariji Afande Sele

 


 

 Kigogo wa bongo Movie mkoa wa Moro,Chediel Senzighe[MC Mabwangaa]kulia akiwasili eneo la msiba na Rais wake Mwakifwamba [kati]na [kushoto] ni Asha Manga

 Asantesanaa ambaye mtoto wa mwisho wa marehem Asha Mohamed'Mama Tunda'
 Tunda ambaye ni mtoto wa kwanza wa marehemu akiwa na simanzi la kuondokewa na mpendwa mama yake
 Afande Sele akijikaza kuweka udongo kwenye kaburi la mpendwa mama wa watoto wake
 
 
 Akiangulia kilio baada ya kuweka udomngo huo

 Bi,Amina Rajab Sululu ambaye ni mama mzazi wa marehem akihojiwa na Mtandao huu
Baba mzazi wa marehem Bw Mohamed Rajab Shiengo ambaye ni makamo mkuu wa chuo cha Mipango Fedha na Uchumi Kilichopo Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani akihojiwa na Mwandishi wa habari hizi.
 
Picha kwa hisani ya DUSTANSHEKIDELE

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE