Huku wakiendelea kutengeneza hits song kibao na Tour zao za mikoani zikiendelea, YAMOTO BAND, wanakupa wimbo wao mpya hapa hapana hivi sasa wakiwa wamemshirikisha Mzee wa masauti Christian Bella na wimbo unakwenda kwa jina "Wambea"
November 08, 2014
7:20 AM
Machaku
No comments
Related Posts:
MMILIKI WA NYUMBNI PARK AVAMIWA KUJERUHIWA NA KUPOLWA FEDHA Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhi.Tukio hilo lilitokea usiku wa Trh 19 kuamki 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda. Sehemu alizoathi… Read More
NEW AUDIO/ NIKO HIVI - EZDEN THE ROCKER ft SQUEEZET Hii ningoma ya mtangazi mkongwe na mwana Hip Hop Ezden The Rocker, hapa amefanya kazi hii na mkongwe George Kasela maarufu kama Squeezer wanakwambia NIKO HIVI NIKO HIVI … Read More
PENNY APASUA JIPU, UWEZO WA DIAMOND KUMPA MWANAMKE MIMBA NI MDOGO SANA BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo… Read More
JIHADHALI SANA NA SELFIE HASA UWAPO KAZINI, HAWA WAMEPOTEZA KAZI NA KUKATWA MISHARA KWA SABABU YA SELFIE Unapenda Selfie? Vingi vimesikika, wapo waliokamatwa kwa sababu walipiga selfie maeneo ambayo hawaruhusiwi kufanya hivyo, hawa jamaa nao wamejikuta wakipoteza kibarua baada ya kukiuka maadili ya kazi yao kwa… Read More
UBALOZINI RESPECT WAFANYA ZIALA YA MAKABURINI Hapa baada ya kutembelea makaburi Vijana wa wanaunda kundi la Ubalozini Respect mkoani Morogoro siku ya jana walifanya ziara yao ya kawaida kabisa ya kutembelea na kufanya maombi makuburini ikiwa ni … Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment