Leo hii December 24 ubalozini.blogspot.com inaungana na millardayo.com kukupa vichwa vya
habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headlines mpya
kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa
kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo
DC Tarime anusuru maisha ya aliyefanyiwa tohara kienyeji
Mkuu wa
Wilaya ya Tarime, Glorius Luoga ameyanusuru maisha ya kijana mmoja
aliyefahamika kwa jina la Mwita Marwa mkazi wa Kemakorere baada ya
kudaiwa kufanyiwa tohara isiyo Salama.
Mkuu huyo wa wilaya ametoa
msaad…Read More
Mwaka Mpya song: Hamza Kalala - Tufurahi na mwaka mpya
Tufurahi na mwaka mpya ni wimbo ulioimbwa maalum kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya. hasa kipindi kile cha kuingia kwa mwaka mpya. Wimbo uliimbwa na Komando Hamza Kalala akiwa na kundi la Bantu Group. Enjoy hapa …Read More
Morogoro Mpya. Soko kuu
Habari hizi zikufikie wewe mkazi wa mji wa Morogoro. Almashauri ya Manispaa ya Morogoro na kampuni ya ujenzi wa soko kuu la mkoa , wametupatia picha rasmi za muonekano wa soko kuu la mkoa wa Morog…Read More
Zitto Kabwe Ahofia Usalama Wake, Aaandika Mazito!
Kiongozi
wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema anahofia usalama wake
kutokana na taarifa alizozipata, akisema kuna mpango wa kumdhuru.
Kiongozi huyo wa upinzani ambaye amekuwa mstari wa mbele katika
kusi…Read More
Kanisa Katoliki Laanika Hadharani Jina la Mshindi wa Urais Congo
Baraza
Kuu la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Cenco), lenye ushawishi mkubwa
nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limesema linafahamu aliyeshinda
uchaguzi wa rais ambao ulifanyika Desemba 30 mwaka jana na kuomba Tume
ya…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment