Mbio za kumpata mlithi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, zinazidi kushika kasi ndani ya chama cha mapinduzi-CCM baada ya wanachama kuzidi kuongezeka katika harakati za kumpata mgombea atakayekiwakilisha chama hicho. Baada ya kina Lowasa, Bilal, Magufuli na wengine kuchukua Fomu, hatimaye leo hii ilikuwa zamu ya MH: Mwigulu Lameck Nchemba kuchukua fomu katika ofisi zachama hicho

"Nimechukua FOMU ya Kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hi
leo(Makao Makuu ya CCM-Dodoma),Tayari kwa kupeperusha Bendera ya Chama
Changu cha Mapinduzi.
Nawashukuru sana kwa wote waliojitokeza,Safari imeanza kuelekea Tanzania Mpya,Tanzania ya Kipato cha Kati.
Naomba muendelee kuniamini,Kuniunga Mkono,NITAWAVUSHA".
Nawashukuru sana kwa wote waliojitokeza,Safari imeanza kuelekea Tanzania Mpya,Tanzania ya Kipato cha Kati.
Naomba muendelee kuniamini,Kuniunga Mkono,NITAWAVUSHA".

0 MAONI YAKO:
Post a Comment