March 21, 2016

Majaji wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ya ICC hii leo wanatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya makamu wa zamani wa Rais wa Congo Jean- Pierre Bemba anaetuhumiwa kwa ubakaji na mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wake katika nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati katika kipindi cha zaidi ya muongo mmoja uliopita.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE