Mwana siasa Amar Singh amesema Waziri mkuu wa India Narendra Modi
anampango wa kumpendekeza staa wa filamu kutoka Bollywood Amitabh
Bachchan kuwa rais ajayo wa India.
Amar Singh amesema haya akifanyiwa mahojiano na 24X7 kuwa Amitabh
Bachchan anaweza kutajwa kama watu wenye uwezo wa kuwa rais wa India.
Amar Singh ndiye alimtambulisha Amitabh Bachchan kwa waziri mkuu
Narendra Modi
Ligi kuu bara yapata pigo, Muasisi wake afariki Dunia
Na Mahmoud Zubeiry wa Binzubeiryonline
MUASISI
wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Mzee Chabanga Hassan Dyamwale
amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Muhimbili, Dar es
Salaam alipokuwa amelazwa kwa…Read More
Watumishi wa 4 wa TRA wasimamishwa kazi
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amewasimamisha kazi watumishi
wanne wa Idara ya Forodha, katika Mpaka wa Tanzania na Zambia, Mjini
Tunduma, ili kupisha uchunguzi wa…Read More
Bill Gates aitangaza Tanzania, afungua AC ya IG akiwa Tanzania
Bilionea Bill Gates akipata chakula cha mchana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kicheba Muheza Tanga
Tajiri namba moja wa Dunia Bill Gates, amefungua AC ya Instagram akiwa Tanzania na kupost baadhi ya picha akiizungu…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment