
Mwanamuziki
ambaye anatikisa na ngoma ya Shiko robo, Shetta, amejikuta kwenye hali
ya kumwagiwa matusi baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akimnyonya
mwanamke huyu denda na kuandika "My lovely wife....!! #MamaQayllah"
Account
hiyo ya Shetta hakuwa na picha yoyote kwa wakati huo mbali na picha
hiyo ambayo baadaye aliweza kuifuta na kupost tangazo la radio moja
nchini ambalo ndilo lipo hadi hivi sasa.
Matusi aliyo shushiwa ni kwanini amefanya hivyo...
Matusi aliyo shushiwa ni kwanini amefanya hivyo...
@kenedyjohn31Usengem2pu Islamic gani wewe usie na haya boya wewe
@kenedyjohn31 Nay hajakosea hata kdogo
@pacha_wa_mama_yangu Kaz ipo kule shoga yangu mi ngachokaa
@manzyleah_17@officialkibadeus Jieshim
@officialshetta@chalzbwax Amna kitu
@salmakisoma@lucy_de_jose Oky ,,days cute,c kasema mkewe jamn,,,,,
@iddmejaji Heshima gani ss hio ama kweli ukiwa mshamba unakuwa mshamba wa kila kitu duh pole ni utoto ukikua utaacha...
@jesejohn Upumbavu mtupu
@johnn_mwangi Kuna wasanii wadanada ila sheta kazidi#shika adabu yako..
@hazeemabdulazizi Kweli sio maadili ya watanzania ivyo mbona unataka kujishusha thamani
@amyrashaeyz wamerudiana

0 MAONI YAKO:
Post a Comment