April 06, 2016

 
 Aliyekuwa mchezaji wa Kimataifa na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Nigeria aliyecheza kwa mafanikio katika klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza Nwanko Kanu anatarajiwa kuwasili nchini leo. Akiwa nchini Kanu atatembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (Jakaya Kikwete Cardiac Institute) hapo kesho Saa 9 Alasiri.

Source:Cloudsfm Radioon Facebook Cloudsfm Radio

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE