Baada ya wimbo wake wa Shika Adabu yako kufanya poa sana mtaani na kila kona y aTanzania mpaka nje, hasa kwenye mitandao ya Kijamii licha ya kufungiwa. Hatimaye mwanamuziki Nay wa Mitego ametuletea wimbo wake huu mpya kabisa unaitwa Pale kati Patam
Ben Pol nitafunga ndoa ya kimila
Staa wa Bongo Fleva anaye fanya vizuri kwa sasa na ngoma yake ya
‘Sophia’ Ben Pol amefunguka kuwa atafunga ndoa ya kimila kwenye harusi
yake.
Akipiga stori na Clouds Fm hivi karibuni,alisema kuwa atafunga n…Read More
Mr. Nice amshukia Rais
Mr. Nice
Mr Nice amechukizwa na hatua za rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ya
kutangaza nia ya kuombea urais kwa awamu ya tatu kinyume na katiba hali
ambayo imesababisha machafuko.
Rais wa Burundi Pi…Read More
JK: Sina mgombea urais
Licha ya idadi kubwa ya makada wa CCM waliojitokeza na wanaoendelea
kujitokeza kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais kupitia chama hicho
tawala, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake amesema hana mgombea,
…Read More
Bernard Membe apata udhamini wa kishindo katika mkoa wa Ruvuma
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa
mj…Read More
Abou Diaby atemwa Arsenal
Mabingwa wa Kombe la FA mara mbili mfululizo Arsenal wamemtema kiungo wao Abou Diaby.
Mchezaji huyo mwenye kipaji, 29, alikuwa akifananishwa na gwiji wa
Arsenal Patrick Viera na kocha Arsene Wenger, lakini amekuwa …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment