Usiku wa kuamkia leo moto mkubwa uliwa na kuteketeza majengo na samani za shule ya sekondari ya Lindi.
Moto huo ambao
ulianza majira saa saba usiku, ulifanikiwa kuzimwa na jeshi la zimamptp
lakini ukiwa tayari umeshateketeza madarasa tisa, na baadhi ya sehemu ya
ofisi nne na maabara mbili zikiwa zimeteteke.

Aidha, Samani ambazo hasa ni madawati yanakadiriwa ni zaidi ya 300 yaliyoteketea kutokana na moto huo.




0 MAONI YAKO:
Post a Comment