Hawa ni Baadhi ya majeruhi waliojeruhiwa katika maafa ya tetemeko la
ardhi mjini Bukoba wakipatiwa huduma ya kwanza mapema leo jioni nje ya
hospitali ya mkoa huo baada ya wodi kujaa majeruhi habari zinasema mpaka
sasa watu kadhaa wamefariki dunia.
UKAWA waongea na waandishi wa Habari usiku huu
UPDATES:
Mbatia analalamikia vitisho vya Mgombea wa CCM, Magufuli kuwa wakiwachagua wapinzani nchi itaingia kwenye machafuko
Mbatia: Watu wameanza kupoteza maisha, wana UKAWA wanadhalilishwa na wengine kutekwa
Mbatia: Hali i…Read More
Kuhusu kuondoka UKAWA na kurudi CCM, unt Ezekiel afunguka
Ni stori inayoendelea kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu Aunt Ezekiel na Vicent Kigosi, sasa hapa nimepata Aunt Ezekiel ameelea sababu zilivyomfanya yeye kuhama UKAWA na kuhamia chama cha Mapin…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment