October 21, 2016

achieng-abura-celeb-chat-800x776 
Mwanamuziki mkongwe wa nchini Kenya na aliyewahi kuwa Principal kwenye mashindano ya Tusker Project Fame, Achieng Abura amefariki dunia.
 
Kwa mujibu wa The Standard, amefariKwa mujibu wa The Standard, amefariki Alhamis hii kwenye hospitali ya taifa ya Kenyatta jijini Nairobi. Bi. Abura alikuwa amelazwa katika wodi binafsi akitibiwa ugonjwa ambao haujajulikana.ki Alhamis hii kwenye hospitali ya taifa ya Kenyatta jijini Nairobi. Bi. Abura alikuwa amelazwa katika wodi binafsi akitibiwa ugonjwa ambao haujajulikana.
Bi. Abura Alifariki dunia mida ya saa 12 jioni. Mapema mwezi huu, muimbaji huyo aliandika kuwa afya yake si nzuri na madaktari walimshauri aongeze uzito kisha kuupunguza kupitia mazoezi.
Chanzo cha karibu na familia yake kilidai kuwa alihamishwa kwenye wodi ya wagonjwa mahututi baada ya hali yake kuwa mbaya.
Wasanii mbalimbali wa Kenya wametuma salamu zao za rambirambi kupitia mitandao ya kijamii. Hawa ni baadhi yao.
Avril
My day ends on a sad note..don’t know what to say…RIP Achieng Abura :'( ..
Nameless
So sad to hear of your passing dear sister….Rest in peace Achieng Abura.
Akothee
You’ve done your part….it’s a journey…I mourn you ! RIP #RIPAchiengAbura
Sauti Sol
Our heartfelt condolences to the family and friends of the late Achieng Abura. She was a natural talent, mentor to us all. This is a big blow to the music industry! #Rip #RipAchiengAbura #Shujaa
The King Kaka
Rest In Peace.
Achieng Abura.
Safiri Salama, tutaonana Baadaye.
Amani
 R.I.P. Achieng Abura 
…a lovely woman who was passionate about music #legend

Related Posts:

  • CHADEMA BALAA TUPU, M/ KITI AJIUZULU WILFRED NOEL KITUNDUMWENYEKITI CHADEMA MKOA SINGIDAS.L.P 2603.12.2013KATIBU WA CHADEMA MKOAS.L.P 260SINGIDA YAH: - KUJIUZURU UENYEKITI MKOA SINGIDA Somo hapo lahusika,Ninapenda kukuarifu kuwa nimeamua kujiuuzuru nafasi y… Read More
  • ETI!!! MSANII AMANI WA KENYA AOKOKA???  Kumekupo na hali ya sintofahamu kwenye tasnia ya burudani nchini Kenya iwapo mwanamuziki mrembo wa Kenya, Cecilia Wairimu aka Amani naye amefuata nyayo za wasanii wengine wa nchini humo… Read More
  • KIFO CHA POUL WALKER CHASOGEZA FAST AND FURIOS 7   Utengenezaji wa filamu mpya ya Fast and Furious  sehemu ya 7 utacheleweshwa kutokana na sababu ya kifo cha mmoja wa mastaa wake, Paul Walker. Kabla ya kifo cha Paul Walker cast na crew nzima walikuwa wa… Read More
  • RIPOTI VIWANGO VYA UFISADI DUNIANI Kumekuwepo na shutuma nyingi za ufisadi kwa nchi mbali mbali,hii ndo ripoti kuhusu viwango vya ufisadi. Nchi ya Afghanistan, Korea ya Kaskazini na Somalia ndio nchi zinazoonekana kuwa na… Read More
  • IRENE UWOYA AZIDI KULIKOROGA MTANDAONI Kifo cha Star wa Fast and Furious,Paul Walker kimemrudisha tena Irene Uwoya katika vinjwa vya habari kwenye mitandao mbalimbali ya hapa Tanzania. Msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya amekula za pua (Kukosolewa) kwa b… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE