Mwanamuziki Belle nine anakupa fursa kwako wewe mdau wake na mdau wa bongo fleva, kuitazama video yake mpya inayoitwa Give it to me aliyomshirikisha mweusi G Nako
Official Video: DJ Mtes - Mama
Licha ya kujihusisha na kazi ya Blogger na kuwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii, huku akisimama katika kuinua wasanii wapya kupitia AC zake za kijamii na website yake ya DJ Mtes.com. Blogger huyo kutoka mkoani Moro…Read More
Rais Magufuli aomba asemehewe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa yeye si
mwanasiasa mzuri ndiyo maana lugha yake siku zote si nzuri.
Magufuli amesema hayo leo Februari 22,
2018 wakati akiho…Read More
Brand New Audio: Dayna Nyange - Salesale
Mamabo Vp? Baada ya kukaa kimya kwa muda, mwanamuziki Dayna Nyange ameachia audio ya wimbo wake wa Salesale. Dayna ameachia Salesale baada ya wimbo wake wa Chovya kufanya vizuri sana. Wimbo wa Salesale umafanyi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment