Brand New Video song: MwanaFA ft Maua Sama - Hata Sielewi
Wanamuziki Mwana Fa na Maua Sama , leo hii wanakutana tena kwa mara ya pili katika wimbo huu mpya wa Mwana FA unaitwa Hata Sielewi. Sauti hizi kwa mara ya kwanza zilikutana katika wimbo wa Maua Samma unaitwa&nb…Read More
Kaburi la mume wa Zari lafukuliwa
Kaburi la Ivan lilivyofukuliwa na watu wasiojulikana (Picha na Fred Muzaale)
Kaburi la aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Ssemwanga limefukuliwa na
watu wasiojulikana katika kijiji cha Nakaliro mjini …Read More
Wema Sepetu Baada ya Kurudi CCM Afunguka, ‘Nimekatishwa Tamaa’
Baada ya msanii wa filamu, Bongo Wema Sepetu kurudi CCM kutokea Chadema, hatimaye amezungumzia hilo.Wema amesema hawezi sana kulizungumzia hilo kwa sababu maamuzi yalishafikiwa lakini anajihisi kukatishwa tamaa.“Yaani
it …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment