December 14, 2016

 

Miezi kadhaa iliyopita aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi ‘UVCCM’ Arusha, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kosa la kujifanya ofisa usalama wa Taifa na kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa.

Kesi hiyo imetolewa maaamuzi na mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo December 14 2016 ambapo imemuachia huru Lengai Ole Sabaya baada ya upande wa Jamhuri kusema hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Related Posts:

  • Ray: "Mimi ndiye msanii bora wa Filamu"   Msanii wa filamu nchini Vicent Kigosi amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii pekee kutoka Tanzania ambaye amechaguliwa kushiriki katika filamu inayounganisha nchi mbili ya Rwanda na Tanzania. Ray Kigosi… Read More
  • Serikali Yakata Rufaa Kwa Mara Pili Kupinga Bosi wa Zamani wa TRA Upande wa Jamhuri umekata rufaa kwa mara ya pili katika kesi inayowakabili Harry Kitilya, Shose Sinare na Sioi Solomoni katika Mahakama ya Rufaa baada ya rufaa hiyo kukataliwa katika Mahakama Kuu. Kitilya,… Read More
  • Nay wa Mitego hajui nguzo za hip hop – Kimbunga  Rapper Kimbunga Mchawi amesema kuwa Nay wa Mitego hajui muziki na wala hajui nguzo za hip hop. Kimbunga amesema hayo alipohojiwa na kwenye kipindi cha Enews kinachorushwa na East Africa Television. “Msanii Nay wa… Read More
  • Msanii Kidjo apata tuzo ya haki za binaadamu  Mwanamuziki wa taifa la Benin aliyeshinda tuzo ya Grammy Angelique Kidjo, pamoja na wanaharakati 3 kutoka barani Afrika wametuzwa tuzo ya haki za kibinaadamu mwaka 2016 kwa kusimamia haki na shirika … Read More
  • AY, FA waenda Kortini Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao. Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando amepost picha Instagram akiwa kwenye mahakamu kuu ya Tanzania a… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE