NMB Yadhamini Semina ya Bloggers
BENKI ya NMB imedhamini semina ya Wamiliki wa Mitandao ya Kijamii nchini Tanzania maarufu kama ‘Bloggers Network’ (TBN) ambapo imetoa hundi ya shilingi milioni kumi.
Hundi hiyo imekabidhiwa leo na Ofisa Uhusiano wa B…Read More
Video: Maiti yagoma kuzikwa
Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni. Hii imetokea huko nchini Kenya ambapo maiti moja imegoma kuzikw akama ilivyopangwa.
Tazama Video hapa
&nb…Read More
Godbless Lema Anyimwa Dhamana Kwa Mara Nyingine Tena
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemnyima dhamana Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema. Mahakama hiyo imeeleza kuwa mawakili wamtuhumiwa huyo walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya siku10 kabla ya kuka…Read More
Watu binafsi marufuku kuchapa vitabu vya kufundishia
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema serikali imepiga marufuku uchapaji holela wa vitabu vya kufundishia na kujifunzia kwa wachapaji binafsi na badala yake uchapaji huo utasimamiwa n…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment