Michuano nusu fainali wa UEFA Chamions League inaendele usiku huu kwa kuwakutanisha Juventus na Monaco. Fwatilia moja kwa moja mpambano huo mkali uliokamiwa na pande zote mbili
Ainea kuja na Juddy wiki hii
Mwanamuziki wa kizazi kipya toka mkoani Dodoma Aine wa sinampango naye, yupo mbioni kuachia ngoma yake mpya ya Juddy aliyomshirikisha Dullayo. Akitia Story na blog hii, Ainea amesema ameamua kuja na Dullayo k…Read More
Mzee Yusuph afichua siri ya mchezo
Mfalme wa Taarab nchini na kiongozi wa Jahazi Modern
Taarab, Mzee Yusuph, amesema sababu za bendi yake kupendwa ni utunzi
mzuri wa nyimbo zao.
Mzee Yusuph ambaye June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilima…Read More
AY: awashauri Diamond na Alikiba
Rapper Ambwene Yesayah maarufu kama AY ametoa ushauri
kwa Diamond na Alikiba kuweka tofauti zao pembeni na kufanya muziki
pamoja.
AY ametoa ushauri huo baada ya kuulizwa na shabiki kupitia Kikaangoni
cha EATV aliyetaka…Read More
Happy Birth day to u Zinedine Zidane
Zinedine
Zidane a.k.a Zizou amezaliwa June 23 mwaka 1972 na hadi leo amefikisha
miaka 43. Zidane ameoa mwaka 1994 mke wake anaitwa Veronique Zidane.
Hadi leo wana watoto wanne ambao ni Enzo Fernandez, Theo Zidane,…Read More
Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili hii
-
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Amani
Golugwa, amesema chake, kitaanza...
The post Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment