March 13, 2016

               
Basi la kampuni ya Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kwenda Dar es Salaam, limeacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la Kimara Bucha  usiku  wa kuamkia leo

Idadi ya waliofariki haijafahamika  ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na walikimbizwa  Haospitali  ya  Mwananyamala na Muhimbili.
                     

                     

                     

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE