February 01, 2018

Image may contain: 1 person 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ametilia wasiwasi mwenendo wa majaji nchini huku akisema baadhi yao kila likizo husafiri nchi za Ulaya na kuishi kifahari tofauti na mishahara yao. Kauli hiyo ameitoa leo wakati wa kilele cha Siku ya Sheria nchini Tanzania. Hii ni mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kuwatuhumu majaji hadharani. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Dokta Marcos Albanie, anachambua.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE