OMMY DIMPOZ AMPIGA KIJEMBE KIKALI DIAMOND
Diamond Platnumz ali-tweet kupitia ukurasa wake wa Twitter kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano …
In between, Ommy Dimpoz jumped in… This is too far hilarious … Ha ha ha …
Ni kweli haya yanatokea??!!
Check them tweets hapa…Read More
KILI MUSIC AWARD 2014 MWALI MKOLENI
Dar es Salaam. Tuzo za Muziki, maarufu ‘Kilimanjaro Music
Award’ zimezinduliwa rasmi jana na zitafikia kilele chake Mei 3 kwenye
ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Tuzo hizo zinaratibiwa na Baraza la S…Read More
YANGA WAMPELEKA MKWASA CAIRO KUWAFUATA AL-AHLY
Charles
Boniface Mkwasa kocha msaidizi wa Young Africans mchana wa leo ameondoka
kuelekea jijini Cairo nchini Misri kwenda kushuhudia mchezo wa Fainali
ya (Super Cup) Ms…Read More
TAZAMA DAYNA AKIWA JUKWAANI VALENTINE DAY MWANZA
Dayna akiimba kwa Hisia
Valentine Daya kumbi nyingi kili nuka mbaya, huko jijini Mwanza kulikuwa na bonge ya show iliyowakutanisha wakali wa Stage toka Tanzania Dayna Nyange na kutoka Uganda mwana dada wa bl…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment