September 18, 2018

No automatic alt text available. 
TIGO NA CLOUDS TENA: NI VIBE KAMA LOTE.

Taa ya kijani imewaka, honi zinasikika kushtua kila dereva aliyekuwa hajakaa mkao wa kusepa, nchi yote inaweka gia ya kusogea mbele, penye kiza nuru imewaka, penye upweke tumaaini linawekwa: ni #VibeKamaLoteeeee

Kwenye makao makuu ya kampuni kinara kwenye mawasiliano, Tigo Tanzania msimu wa #TigoFiesta2018 umetangazwa rasmi. #Tigo wametangaza kudhamini tukio hilo kubwa zaidi Afrika Mashariki na Kati, ikiwa ni mwaka wa 3 mtawalia. #VibeKamaLoteeeeee , 

Ndiyo Post ya kwanza, iliyoandikwa katika page ya Clouds ya Instagram,ikiutaarifu umma wa watanzania kwamba sasa rasmi Milango ya Fiesta imefunguka na kuanza kuunguruma siku ya Jumamosi 29 September na mkoa uliopata bahati ya kukata utepe kwa msimu huu ni Morogoro.

           

Related Posts:

  • Official new Video: Salesale - Dayna Nyange      Audio ya wimbo huu wa Dayna Nyange, ilishatambulishwa tayari siku ya Alhamisi. Leo hii ametuletea Video ya wimbo wa Salesale. Video ipo katika ubora wa hali ya juu kabisa na inawezekana ikawa ni miungo… Read More
  • Zitto Kabwe akamatwa Morogoro, awekwa ndani   Kiongozi na mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo Ndugu zitto Kabwe, anashuikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Humo. Kwa mujibu wa taarifa za kichama kupitia ukurasa wa Twitte, Ndugu zitto amepelekwa … Read More
  • Brand New Audio: Alay - Nibebe  Mwanamuziki anayetamba kwa kuachia hit nyingi sana kwa sasa nchini tanzania Aslay, ametuletea wimbo wake mpya kabisa unaitwa Nibebe … Read More
  • Papaa Misifa aishauri serikali jambo hili Meneja wa wasanii ambaye ametoa wasanii wengi bongo, Papa Misifa, ameitaka serikali kutoweka sheria kali kwa wasanii na mameneja wao, kwani itawagharaimu vijana hao ambao kwa namna moja au nyingine wanajaribu kujikwamua… Read More
  • Official Audio: Enock Bella _ Kurumbembe Mzee wa mbesi Enock Bella wa Yamoto Band, sasa kazi tu. Ameachia Rasmi wimbo wake wa Kurumbembe. Katika wimbo huu Enock anaonekana kufanya vizuri zaidi kutokana na mziki alioufanya utamfya kubadilisha style ya muziki wa … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE