
Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona Lionel Messi ambaye jina lake
limekuwa Maarufu katika mchezo wa soka duniani amekuwa ghali Zaidi ya
Wachezaji wengine ambao wanashindana na Messi katika ubora wa kiwango
Duniani
Lionel Messi £172.6m 2. Cristiano Ronaldo £104.3m 3. Eden Hazard £77.6m 4. Diego Costa £65.9m 5. Paul Pogba £56.4m 6. Sergio Aguero £51m 7. Raheem Sterling £49.4m 8. Cesc Fabregas £48.6m 9. Alexis Sanchez £47.8m 10. Gareth Bale £47m
Mchezaji mwingine ambaye amekuwa anahusishwa kuingia katika ushindani ni Luis Suarez, ambaye alikuwa nyuma ya Messi na Cristiano kwa kwa kiwango cha paundi 107,000,000 kabla ya Kombe la Dunia na baada ya miezi minne.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment