June 29, 2016

Morgan Tsvangirai atangaza kuwa na saratani
Kiongozi wa  chama cha upinzani cha Vuguvugu yenye mabadiliko na Demokratia  (MDC) nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai mwenye umri wa miaka 64 atangaza na kuthibitisha ya kwamba kama ana ugonjwa wa saratani ya uti wa mgongo.
Hayo aliafahamisha katika mkutano na waandishi wa habari June 27 mjini Harare nchini Zimbabwe.
Ifahamike ya kwamba Morgan Tsvangirai aliwafahamisha wanachama wa MDC pamoja na raia wa Zimbabwe ya kwamba ni muhimu kuweka wazi hali yake ya Afya na kuahidi  kama atapambana na maradhi hayo.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE