August 13, 2017

 Akiwa bado anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa leo hii, mwanamuziki Fid Q, awali aliachia audio ya wimbo wake wa Ulimi Mbili aliowashirikisha Maua sama , Hard Mad na Nuruelly, muda huu sasa ameachia video ya wimbo unaitwa Fresh. #HAPPYBIRTHDAYFIDQ


                

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE