
Furaha ya burudani ya miaka ilee sasa imerejea. Melegendari sasa
wamekiri kuwa walichokikosa kwa muda mrefu, sasa kinapatikana isumba
lounge -jollies club kila ijumaa na j'mosi. Ni katika night of the
legends na DJ John Dillinga aka The Legend is Back, DJ Fast Eddy na DJ
Young Kelvin. Njoo ujumuike na malegendari wenzako ukumbukie wakati
muziki ukiitwa muziki. Milango iko wazi saa 3 usiku, kiingilio 10,000/-.
Karibu sana. 4 more info or comments like facebook page
@www.facebook.com/pages/DJ-JD or follow instagram @DJJDTHELEGEND

DJ JD AKIWA KAZINI
0 MAONI YAKO:
Post a Comment